Simba vs Yanga
Habari za michezo

YANGA NA SIMBA… ZIMETUHAKIKISHIA KUPELEKA TIMU 4 KIMATAIFA MSIMU UJAO

Marce Ben Komba March 22, 2023 11:50 pm

Makamu wa Rais wa Klabu ya Yanga, Arafat Haji amesema kitendo cha kuingiza timu mbili kwenye robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kimeitangaza nchi vizuri kwa maana ya nje ya mipaka ya Afrika.

“Mafanikio haya yameihakikishia nchi yetu kupeleka timu nne Kimataifa msimu ujao lakini pia kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kununua kila bao Sh5 milioni kimeleta motisha kubwa.”

BODI YA LIGI YAZIPIGIA SALUTI SIMBA NA YANGA… WADHAMINI WAMWAGA MANOTI MAGAZETI: USAJILI MPYA SIMBA UNATISHA…NABI AFUATA DAWA YA TP MAZEMBE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply