Meridianbet
Habari za michezo

HIVI NIDVYO SHANGWE LA MERIDIANBET LILIVYOTUA KWA MAMA NTILIE ….

admin March 30, 2023 11:12 pm

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/7p1fiy

Ni furaha juu ya furaha kwa akina mama Ntilie ambao wanajishughulisha na masuala ya upishi wa vyakula ambapo leo hii timu ya Meridianbet imewatembelea na kuweza kutoa Aprons kwa kina Mama hao ziwasaidie kwaajili ya maandalizi ya chakula.

Kama tunavyojua kila mtu anapenda kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamleta magonjwa kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi.

MeridianbetUkiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wannanchi wote wenye uhitaji.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

NABI AKABIDHIWA BERNARD MORISSON…YANGA YA MOTO AKOSA NAMBA MO DEWJI AMTAKA MAYELE SIMBA…GSM ATOA KAULI YA KUTISHA AFRIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply