MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA...ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA
Michezo

MFAHANU REFA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI AFRIKA…ANAYECHEZA MASHINDANO MAKUBWA

Marce Ben Komba March 19, 2023 1:04 pm

Mwamuzi Raphael Mbotela (18) amefuzu Mafunzo ya kuchezesha michezo ya ligi kuu ya nchini Zambia baada ya kumaliza kozi ya Uamuzi kwa mwaka 2022,

Sasa Raphael Mbotela anaenda kuwa ndio mwamuzi mwenye umri mdogo zaidi kuchezesha Ligi kuu ya Nchini Zambia,

Mwaka 2021 akiwa na umri wa miaka 16 alipata nafasi ya kuchezesha mchezo wa kirafiki kati ya Zesco na Forest Rangers,

mwaka huo huo 2021, Raphael Pia amewahi Kuchezesha Mchezo wa mashindano ya ligi za vijana (U-17) kati ya Botswana na Namibia, Katika Mchezo huo alikuwa kivutio kikubwa kwa kuumudu Mchezo na matukio yake pia.

US MONASTR:- TUNAADHIMISHA MIAKA 100…MECHI NA YANGA USHINDI LAZIMA SAMATTA ATAMBA KRC GENK…ANAKIWASHA BALAA…MAGOLI NA PASI USISEME

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply