Habari za Yanga
Habari za michezo

MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA…IDADI KAMILI YA MAGOLI ALIYOFUNGA TANGU ATUE YANGA

Marce Ben Komba April 14, 2023 9:21 am

Msemaji wa Klabu ya Wananchi, Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young Africans Sports, Ali Kamwe amesema kuwa Mshambuliaji hatari wa timu hiyo,

Fiston Kalala Mayele amesaliwa na magoli mawili (2) pekee ili kufikisha idadi ya mabao 50 tangu kusajiliwa kwake.

Fiston Mayele ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kukiwasha kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo siku ya Jumapili ya Aprili 16, 2023.

Mpaka sasa nyota huyo amefikisha jumla ya magoli 16 Ligi Kuu sawa na yale aliyofunga msimu uliyopita.

MECHI YA SIMBA NA YANGA SIO VITA…MSIHATARISHE MAISHA YA WATU…MPIRA NI BURUDANI SIKU ZA JOB ZAHESABIKA YANGA…AGOMA KUSAINI MKATABA MPYA…UTATA MZITO WAIBUKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply