Habari za Yanga SC
Habari za michezo

HUYU HAPA STAR WA YANGA ALIYEAGEUKIA KILIMO BAADA YA KUCHWA NA TIMU YAKE….

admin April 21, 2023 7:45 pm

Mchezaji wa soka wa zamani wa klabu ya Yanga, Azam FC na zingine nyingi, Ditram Nchimbi (26) amegeukia shughuli ya Kilimo baada ya kuachana na klabu ya Fountain Gate inayoshiriki Ligi ya Championship.

Kupitia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Nchimbi amesema kuwa maisha ya Kilimo ameyakuta na ndiyo yaliomkuza mpaka watu kumfanya waamfahamu katika soka.

“Nimezaliwa na kuyakuta haya maisha ndiyo yalinikuza na nikawa huyu Ditram unayemfahamu wewe kwa vile unamfahamu na kumuona ulikomuona” aliandika

Nchimbi ameendelea kwa kuwakaribisha watu mbalimbali katika mkoa wa Tunduru; ”Karibuni Tunduru mengine ni baraka za Mungu ila tumetoka huku”.

MASTAA SIMBA MGUU PANDE MGUU SAWA…WYDAD TUMBO JOTO…KOCHA AFUNGUKA HAYA KUELEKEA MECHI NA WAARABU KESHO….MANULA NA KANOUTE WAITIA SIMBA SC TUMBO JOTO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply