RASMI LIONEL MESSI AREJEA BARCELONA...ISHU NZIMA A-Z HII HAPA
Habari za michezo

RASMI LIONEL MESSI AREJEA BARCELONA…ISHU NZIMA A-Z HII HAPA

Marce Ben Komba April 26, 2023 11:17 am

Tetesi za Mshambuliaji wa PSG, Lionel Messi kurejea tena kwenye Klabu yake ya zamani ya Barcelona zimezidi kushika kasi baada ya nyota huyo kusafiri na familia yake hadi jijini Barcelona.

Safari ya Messi haikutarajiwa na wengi akiwa na mkewe, Antonela Roccuzzo na watoto wake walipowasili Barcelona tangu Jumamosi na kuzua minong’ono juu ya staa huyo kurejea tena Catalonia.

Vyanzo vya kuaminika vimedai kuwa mchezaji huyo wa Argentina ameonekana akiwa na mabegi 15 jambo ambalo sio la kawaida na kuchochea uvumi wa kurejea Barcelona.

Mkataba wa Messi na PSG unatarajiwa kufikia tamati Juni 30, na lengo kuu la ni kuona wanafanikiwa kumrejesha mchezaji huyo.

WAKATI IBENGE N AL HILAL YAKE WAKIMTANGAZIA DAU BALEKE….SIMBA SC WAJIBU MAPIGO KWA NJIA HII… EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII MPYA YA KIBABE…AMEZUNGUMZA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply