MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI...ISHU NZIMA IKO HIVI
Habari za michezo

MARIO BALLOTELI AMKATAA RONALDO HADHARANI…ISHU NZIMA IKO HIVI

Marce Ben Komba April 28, 2023 8:56 pm

Mjadala wa kumjua mchezaji gani ni bora zaidi kati ya miamba miwili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo sio wa kupata suluhisho leo wala kesho.

Na hiyo inachangiwa na kila mmoja kuvutia Mashabiki wake kwa namna yake, lakini Straika asieishiwa vituko Muitaliano Mario Balloteli yeye anaonekana kumkubali Muargentina Lionel Messi.

Akizungumza Balloteli anasema;

“Mradi Messi anacheza, nitaendelea kusema kuwa yeye ndiye mchezaji hodari zaidi. Baadaye, pengine, itakuwa zamu ya Haaland na Mbappé.

“Pia weka macho kwa Leao na Osimhen: kwa kichwa cha kulia, wanaweza kufikia kiwango cha Erling na Kylian.”

Infinx WASHUSHA MZIGO MPYA…HABARI YA MJINI NI HOT 30….VODACOM KUTOA GB ZA BUREEE…. KUELEKEA NUSU FAINAL…BALEKE NA MAYELE WATABIRIWA MAKUBWA CAF…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply