Habari za Yanga SC
Habari za michezo

SI GOLINI TU….HIVI NDIVYO ‘MADEMU’ WANAVYOMPAPATIIA MAYELE BONGO…NTIBAZONKIZA AFUATIA…

admin May 1, 2023 8:08 am

Mshambuliaji mahiri wa Klabu ya Yanga SC, Fistoni Mayele raia wa Congo Dr anaongoza kwa kupendwa na wapenzi wa mpira wa miguu wanawake Bongo.

Utafiti uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 200 jijini Dar es Salaam umeonesha kuwa Mayele alipigiwa kura na wanawake 175 akifuatiwa na Saido Ntibanzokiza ambaye alipata kura 20 huku Moses Phiri akipata kura 5.

Wanawake hao waliulizwa swali moja tu kwamba kati ya wachezaji wa mpira wa miguu nchini, ni mchezaji gani unapenda uchezaji wake.

Licha ya wanawake hao 200 pia na watoto wadogo ambao wengi walionesha kumpenda Mayele na wengi wao walisema wanapenda staili yake ya kushangilia ambayo imeenea karibu nchi nzima.

BEKI WA WYDAD AMUIGA MAYELE…LIGI YA MABINGWA AFRIKA…ISHU NZIMA IKO HIVI DAKIKA 20 ZA GIZA MECHI YA YANGA VS RIVERS UNITED…TANESCO WARUKA WAFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply