Habari za Yanga SC
Habari za michezo

KIKOSI CHA YANGA LEO HIKI HAPA …..MORRISON,MUSONDA ‘OUT’…DICKSON JOB HAYUPO…

admin May 10, 2023 3:31 pm

Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Timu ya Yanga inashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuikabili Marumo Gallants ya Afrika ya Kusini.

Mchezo huo wa hatua ya Nusu Fainali unapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam huku Yanga wakiwa na matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi katika mchezo huo.

Hii ni mara ya kwanza kwa Yanga kufika hatua ya Nusu Fainali na pengine wanaweza andika historia kwa Klabu yao ikiwa watatinga hatua ya Fainali.

Hiki hapa kikosi cha Ynga kinachoanza mchezo wa leo;

Kikosi cha Yanga LEO

HIVI NDIVYO MZIZE ALIVYOWAFUNIKA MASTAA WAKUBWA KWENYE LIGI…SI KAGERE WALA BOCCO….WOTE WAMEFULIA… BAADA YA KUONA WATAKUFA VIBAYA LEO…MASAUZI WAOMBA MSAADA KWA SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply