Habari za Yanga SC
Habari za michezo

YANGA WASHINDWE WENYEWE AISEE…CAF WAIPA URAHISI WA KUBEBA UBINGWA WA SHIRIKISHO…

admin May 12, 2023 10:00 pm

Kuanzia msimu huu wa mashindano ya CAF, mechi za fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika zimerejeshwa katika mtindo wa nyumbani na ugenini.

Kwa misimu kadhaa iliyopita, mechi za fainali zilipigwa katika uwanja huru unaopendekezwa kufuata vigezo walivyojiwekea CAF.

Hata hivyo baada ya fainali kati ya Al Ahly dhidi ya Wydad iliyopigwa Morocco na Al Ahly kuwasilisha malalamiko yao CAF kupinga mechi ya fainali kupigwa katika moja ya klabu iliyotinga fainali, utaratibu umebadilishwa tena na kurejeshwa kama zamani.

Kama Yanga itatinga fainali, itakuwa na mechi mbili za kusaka ubingwa wa Shirikisho Afrika dhidi ya Asec Mimosas au USM Alger.

HUU HAPA MSIMAMO WA RAGE KUHUSU MASHABIKI SIMBA KUISHANGILIA YANGA KIMATAIFA… RIPOTI YA MBRAZILI…SIMBA KUSAJILI KIKOSI KIZIMA…BAJANA WA AZAM NA KIPA LA VIPERS NDANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply