Habari za Simba SC
Habari za michezo

KUHUSU TETESI ZA MASTAA SIMBA KUKIMBIA..AHMED ALLY AVUNJA UKIMYA…AANIKA HALI ILIVYO..

admin May 15, 2023 10:50 am

Wakati tetesi zikiendelea kuzagaa kila kona kuwa mastaa wa Simba wanatakiwa katika vilabu mbalimbali Afrika na hata Ulaya, Meneja wa Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally ameibuka na kusafisha hali ya hewa.

Tetesi hizo ambazo nyingi zimewaacha Mashabiki na wapenzi wa Simba katika hali ya Sintofahamu ni kama zimekanushwa na Msemaji huyo wa Klabu ambapo kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii ameandika;

“Unapokua na wachezaji wenye Quality kubwa tegemea tetesi nyingi kipindi cha usajili

Mohammed Hussein anatakiwa na timu za South Afrika

Manula anukia Azam Fc

Baleke anatakiwa na timu za Ulaya

Niwathibitishie Wana Simba hakuna mchezaji ambae yupo kwenye mipango yetu ataondoka, Wale waliomaliza mkataba na tunawahitaji watasalia

Maboresho tunayoyafanya ni pamoja na kuwabakisha wale tunaowahitaji”

‘SOPU’ AJILENGESHA TENA KWA MADAKA MISHALE WA YANGA…AFUNGUKA ANAVYOMUOTEAGA.. KAIZER CHIEFS WAMNYEMELEA MRITHI MA MAYELE YANGA…JAMAA LINATUPIA SIO KITOTO …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply