Tetesi za Usajili Yanga
Habari za michezo

BEKI WA MURUMO GALLANTS AINGIA ANGA ZA YANGA…JINA LAKE LASUBIRI MAAMUZI YA NABI TU..

admin May 15, 2023 10:39 am

Kocha mkuu wa Yanga Professor Mohamed Nasreddine Nabi ameonesha nia ya kuinasa saini ya beki wa Marrumo Gallants kuelekea msimu ujao.

Bado hakuna mazungumzo yoyote baina ya Yanga na mchezaji Mpho Mvelase hadi sasa.

Taarifa Kutoka ndani ya Uongozi wa Yanga unatarajiwa kukutana na wakala wa Mpho Mvelase nchini Afrika ya kusini siku ya jumanne kuanza mazungumzo.

Pia baadhi ya vyombo vya habari nchini Afrika ya kusini vishaanza kuripoti taarifa hii ya beki Mpho Mvelase kutakiwa na Mabingwa wa Tanzania Yanga SC.

HUYU NDIYE IBRAHIM BACCA….MKIMYA MWENYE MIGUU INAYOONGEA… UKWELI MCHUNGU…ANGUKO LA SIMBA LILIANZA HAPA…MAMBO YOTE YALIANZA KWENDA KOMBO..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply