Yanga SC

YANGA WASHINDWA KUTAMBA MALAWI WALAZIMBISHWA SULUHU

Staff Desk July 6, 2023 8:53 pm

KLABU ya Yanga leo imelazimisha suluhu dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi katika mchezo maalumu wa kirafiki wa kimataifa kuadhamisha miaka 59 ya Malawi.

Mchezo huo uliohudhuriwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera umepigwa kwenye uwanja wa taifa wa Bingu uliopo mji mkuu wa Malawi, Lilongwe.

Timu zote mbili zilishambuliana kwa zamu lakini hakuna iliyoibuka na ushindi hadi mwisho wa mchezo huku Yanga ikichezea sehemu kubwa ya wachezaji vijana na wengine wapya.

HUYU HAPA MBABE WA MKEKA..KAJILIPUA KWA MIL 1 KAPATA MILIONI 14 CHAP CHAP… MAYELE AFUNGUKA HATMA YAKE YANGA,…WAARABU WAIPA SIMBA WINGA WA HATARI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply