Habari za Yanga leo
Habari za michezo

ACHANA NA USAJILI WA MASTAA WAPYA …YANGA KUSHUSHA WASAUZI BONGO…ISHU IKO HIVI…

admin July 12, 2023 7:31 pm

RASMI kwenye wiki ya Mwananchi Klabu ya Yanga itakuwa na kazi Uwanja wa Mkapa Julai 22 2023 kuwapa burudani mashabiki wa timu hiyo.

Ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs,Yanga itacheza ukiwa ni mwanzo wa kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24.

Wiki hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na wale waliobaki ndani ya kikosi.

Pia benchi la ufundi ni jipya hivyo utambulisho utakuwa wà kipekee na utakuwa NI mchezo wa kwanza wa kimataifa Kwa Miguel Gamondi kocha wa Yanga.

Miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa Yanga na kutambulishwa ni mzawa wa kazi Nickson Kibabage na Gift Fred huyu kutoka Uganda

HII HAPA TAARIFA MPYA KUHUSU VYUMA VINGINE VITAKAVYOSHUKA SIMBA…. BAADA YA KUONA ANAWADENGULIA KUSAINI….MABOSI YANGA WAAMUA LIWALO NA LIWE KWA MAYELE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply