Habari za Michezo
Habari za michezo

BARBARA AZIDI KUKINUKISHA HUKO….ATUPA DONGO JIPYA KWA MO DEWJI….

admin July 20, 2023 3:35 pm

Barbara Gonzalez ameendelea kutoa kauli zake ambazo haijulikani anamlenga nani kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Hii leo, Barbara amekuja na hii mpya:

“Binaadamu tuna tatizo la kusahau. Hakuna mwenye cheo cha milele! Ubabe utafikia kikomo chake. Kiburi ni cha muda tu. Dharau zina mwisho wake. Kuwa mpole Kaka. Power and influence is temporary!”

Kabla ya hiyo, Barbara amewahi kutoa kauli kadhaa ambapo moja wapo ilichukuliwa na mchezaji wa Simba SC, Clotus Chama na watu kujaribu kuihusanisha na masuala yake ya kimkataba ambayo hata hivyo yalitangazwa kuisha na Chama anatarajia kujiunga na wenzake kambini Uturuki.

“Usilipize ubaya kwa ubaya, lakini usiwe mnyonge kudai haki zako!” hii ndiyo aliyoichukua Chama.

STAA MPYA YANGA AWEKA REKODI YA KIBABE TZ…KUMBE ALIKUWA MCHEZA DANSA… WAKATI SIMBA NA AZAM WAKIWA NNJE…. YANGA ‘WAFUKUZWA’ AVIT TOWN…ISHU IKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply