Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe
Habari za michezo

YANGA WAFUNGUKA UWEPO WA GAEL BIGIRIMANA KAMBINI

Staff Desk August 1, 2023 10:31 am

Uongozi wa Yanga umeelezea sababu ya aliyekuwa nyota wao Gael Bigirimana kuonekana kambini Avic Town ni kusalimiana na wenzake.

Akizungumzia ishu hiyo leo Agosti Mosi, 2023, Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe, alisema Gael ni familia ya Yanga hivyo alifika kambini kuwasalimia wachezaji wenzake.

“Alikuja kuwasalimia ndugu zake, sisi Yanga ni familia. Anafanya mazoezi na wenzake lakini sio mchezaji wa Yanga, ni kama vile Aziz Ki alivyokwenda kupasha na ASEC Mimosas,” alisema Kamwe.

BANGALA AWATIMUA MASTAA WA AZAM, MUDA MFUPI AKITOKEA YANGA SIMBA YAJA NA JAMBO HILI JIPYA SIMBA DAY, SERIKALI YAHUSISHWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply