Habari za michezo

ALLY KAMWE AFUNGUKA HISTORIA HII MBAYA KWA YANGA

Staff Desk August 15, 2023 3:36 pm

Klabu ya Yanga SC imekiri kwamba ina historia mbaya kwenye michuano ya Kimataifa kwani ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kufika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa.

Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 15, 2023 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa kwanza wa Klabu Bingwa dhidi ya Asasi utakaopigwa Jumapili hii katika dimba la Azam Complex-Chamaji jijini Dar.

“Tuna historia mbaya na michunao ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, zaidi ya miaka ishirini timu yetu haijacheza hatua ya makunda, hatuwezi kuendelea kuiacha hii istoria iendelee miaka na miaka, tukubaliane kuwa mwaka huu ni wa mwisho.

“Msimu huu tuhakikishe timu yetu inakwenda kucheza hatua ya Makundi,” alisema Ally Kamwe.

PAMOJA NA KUSHINDA NGAO YA JAMII…SIMBA WAPEWA ONYO SAFARI YA MOROGORO… MUAMUZI WA SIMBA vs YANGA AFUNGUKA UTATA KUHUSU PENATI ZA SALIM ALLY, ISHU IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply