Habari za michezo
ISHU YA KRAMO AUBIN KUSUGUA BENCHI IKO HIVI…… SIRI YAFICHUKA
Staff Desk
August 18, 2023
11:38 am
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu kwa mashabiki wa Simba kuona winga wao fundi Kramo Aubin anasugua benchi pasipo kupata nafasi katika mechi yoyote.
Taarifa za ndani ya Simba zinaeleza kuwa mchezaji huyo amekuwa akiugua ghafla siku chache kabla ya mchezo.
Pamoja na changamoto hiyo, inaelezwa Kramo haimfanyi ashindwe kutimiza majukumu yake anapokuwa mazoezini na amekuwa akionyesha kiwango bora.
Je Kramo anateseka na siasa za soka letu?
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.