Latest Posts

Habari za Simba

MWAMBA KAGOMA KUSEPA NANI ATOKE SIMBA !?

Klabu ya Simba kwenye dirisha hili la usajili inahitaji kufanya maboresho kwa kufanya maingizo ya nyota wapya wa kigeni watakaokuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.…

KISA MKATABA SAIDO AWAGOMEA VIGOGO SIMBA

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amegomea mkataba wa mwaka mmoja, huku akiutaka Uongozi wa Simba SC kumpa mkataba wa miaka miwili. Saido…

Habari za Simba

KIRAKA HUYU KUTOKA SIMBA KUTUA KAGERA SUGAR

Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake ya Simba kwasababu ya utovu wa nidhamu anahitajika na Kagera Sugar. Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake…

Habari za Simba SC

SIMBA NA CHAMA SASA ISHU IKAE HIVI TU

Hakuna kitu kibaya kama kutoaminika kwenye maisha. Simba na Clatous Chama wamekuwa na ndoa ya muda mrefu, lakini hakuna anayemuamini mwenzake. Ni kweli Chama bado…

Habari za Simba leo

BENCHIKHA SIO POA SASA NI VITA KAMILI

Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anapeleka kikosi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, inayotarajiwa kuanza kesho 28, huku kichwani akiwa na mambo mawili,…