Habari za Yanga SC
Habari za michezo

GAMONDI ATAMBA KUICHAKAZA ASAS KESHO, HUKU AKIJITETEA HIVI

Staff Desk August 19, 2023 7:25 pm

Kesho Agosti 20 katika Uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakaowakutanisha mabingwa wa Ligi ya Djibouti ASAS na mabingwa wa Ligi ya Tanzania Yanga.

Miguel Gamondi kocha wa Yanga amesema wamejipanga vizuri kwa mchezo huo licha ya kutokujua uimara na udhaifu wa wapinzani wao.

Gamondi amesema yeye ni kocha mpya na anatamani kuweka historia yake mpya kwasababu Yanga haijaingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika miaka ya hivi karibuni.

“Tumejipanga vizuri, hatumfahamu mpinzani kiundani lakini tumejipanga kufanya vizuri na kuandika historia mpya”

BREAKING NEWS : KOCHA WA YANGA AFARIKI DUNIA YANGA YAWEKA MTEGO CAF, ….. KOCHA AMUONYA BALEKE SIMBA, LUIS AONGEZA MZUKA ZAIDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply