‘ISHU’ YA IBENGE KUWA KOCHA MKUU MALI….MABOSI AZAM FC WAVUNJA UKIMYA…
KAMA kuna taarifa inayowasumbua mabosi wa Azam FC na mashabiki wake kwa sasa, basi ni habari inayodai kocha Florent Ibenge anakwenda kuifundisha timu ya taifa…
KAMA kuna taarifa inayowasumbua mabosi wa Azam FC na mashabiki wake kwa sasa, basi ni habari inayodai kocha Florent Ibenge anakwenda kuifundisha timu ya taifa…
WAKATI vita ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa Yanga ikiendelea, vigogo wa klabu hiyo wako kwenye hesabu kali za kukiboresha kikosi hicho, huku…
KAIMU kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco, ameleta matumaini mapya kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania. Tangu achukue mikoba…
CHOMBO CHA HABARI-STARTIMES Julai 31, wamefanya mapinduzi makubwa ya Soka duniani, ambapo Meneja Masoko wa kampuni hiyo David Malisa aliweka wazi mpango kabambe wa kuonesha…
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Azam ikitaka kumuuza Fei toto kwa Simba ni lazima waipe Yanga kiasi cha pesa shilingi bilioni moja. Akizungumza kwa code kwenye…
Ndiyo; Kuanzia msimu uliopita mpaka sasa, Simba hakuwahi kushinda dhidi ya Azam FC Prince Dube akiwa Kikosini. Tangu Msimu uliopita Simba SC ameshinda mechi 2…
Ukitazama msimamo wa Ligi baada ya mechi za juma lililopita, ni Yanga, Azam, Simba na Coastal Union ndio ambazo zimejihakikishia kubaki kwenye Ligi kwa ajili…
Meneja wa Habari na Mawasiliano na Msemaji wa Klabu wa Simba SC, Ahmed Ally amesema mchezaji wao Kibu Denis ambaye alihusishwa kujiunga na watani wao…
Kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali. Fundi huyo wa mguu wa…
Mashabiki wameshaanza kushona jezi za Ubingwa wa Yanga msimu huu, lakini Kocha Miguel Gamondi ameshtukia mechi mbili zinazofuata zina mtego mkubwa kwao na akawaweka chini…