Habari za michezo
DJUMA SHABAN NA YANGA SASA SHUGHULI IMEKWISHA, HATA SIMBA FRESH TU
Staff Desk
August 20, 2023
9:24 am
Uongozi wa Yanga umempa barua ya kumuacha huru aliekuwa mlinzi wake wa kulia Raia wa Jamhuri ya Congo Djuma Shaban.
Beki huyo ambaye alikuwa tegemezi Jangwani, sasa yupo huru kujiunga na Timu yoyote hata Simba wakimtaka.
Djuma bado ana Mkataba na Yanga lakini hakuwa kwenye mipango ya timu na Yanga walitaka kumtoa kwa mkopo lakini yeye aligoma akitaka kuvunjiwa Mkataba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.