Habari za michezo

MANULA ATAKA NAFASI YAKE SIMBA, ISHU IKO HIVI

Staff Desk September 4, 2023 2:10 pm

Aishi Manula anaitaka nafasi yake! Anataka kutuonesha ukubwa wa daraja lake akiwa anaheshimu ubora wa waliopo.

Mtaalamu wa Sayansi ya michezo Mikael Igendia faida yake imeonekana. Wachezaji walikuwa wakikaa nje muda mrefu mpaka mikataba inavunjwa au mpaka muda uliotangazwa ufike na bado wakirudi wanahitaji tena muda.

Lakini Aishi ameweza kukanyaga nyasi tangu mwezi uliopita akiwa anakisiwa kurudi October.

Tayari anaendelea kujifua peke yake na kurudi kwake anakutana na ushindani wa magolikipa watatu Ayoub Lakred, Ally Salim ambae anafanya vyema hivi sasa na Ismail Abel aliesajiliwa kutokea KMC.

Je Manula atafanikiwa kurudi katika lango la Simba SC?

ONGEZA WIGO WAKO WA KUPIGA MANOTI KUPITIA FAIRY FOREST NDANI YA MERIDIANBET.. HUKO SUPER LEAGUE MAMBO NI MOTO, SIMBA WAJA NA MBINU HII KUIMALIZA AL AHLY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply