Norway vs Portugal
Meridianbet

Norway Kuikabili Portugal Uefa Nations League

Vardo September 27, 2026 3:28 pm

Timu ya Taifa ya Norway itakuwa mwenyeji wa Portugal katika mchezo wa UEFA Nations League 2026/27, utakaochezwa Jumapili, Septemba 27, katika Uwanja wa Ullevaal jijini Oslo. Mchezo huo wa Kundi A4 unatarijiwa kuanza saa 21:45 usiku.

 

Norway inaingia kwenye mchezo huo ikiwa katika kundi moja na Portugal, Denmark na Wales. Hii ni mara ya kwanza kwa Norway kushiriki katika kiwango cha juu kabisa cha Nations League, baada ya kupanda hadi League A, hivyo michezo dhidi ya timu zenye uzoefu mkubwa itakuwa kipimo muhimu kwa kikosi hicho.

 

Kwa upande wa Portugal, mchezo huo ni sehemu ya ratiba yenye ushindani mkubwa ndani ya Kundi A4. Portugal ilianza kampeni yake kwa kucheza nyumbani dhidi ya Wales Septemba 24, baadae kusafiri kwenda Oslo kuikabili Norway siku tatu baadaye.

 

Norway itakuwa na faida ya kucheza mbele ya mashabiki wake katika Uwanja wa Ullevaal, ambako pia itaanza kampeni yake kwa kukutana na Denmark Septemba 24. Baada ya mchezo dhidi ya Portugal, Norway itasafiri kwenda Wales Oktoba 1 kabla ya kurudiana na Portugal Oktoba 4. Huku nyota wake wakiwa tayari nkwa mchezo huo.

 

Portugal, chini ya kocha mpya Jorge Jesus, imejumuisha Cristiano Ronaldo katika kikosi chake kwa michezo ya Nations League. Uwepo wa Ronaldo unaongeza uzoefu katika kikosi hicho, huku Portugal ikitafuta kuanza vizuri safari yake ya kuwania nafasi za juu katika kundi na kulitetea taji lao.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema.  Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa ujumla, Norway dhidi ya Portugal unatarajiwa kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa kutokana na umuhimu wa pointi katika Kundi A4. Norway itataka kutumia uwanja wa nyumbani kupata matokeo, wakati Portugal itakuwa ikisaka pointi ugenini katika moja ya michezo muhimu ya mwanzo wa kampeni yake ya Nations League.

Vikosi 6 Ghali Zaidi EPL: Chelsea na Man City Zaongoza Orodha! Pirates Power Meridianbet: Mchezo wa Kasino Mtandaoni Wenye Usugu na Jackpot Kubwa