Habazi sa Simba na Yanga
Habari za michezo

UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI

Staff Desk September 21, 2023 7:35 pm

Taarifa mpya kutoka ndani ya Simba SC ni kwamba beki wao Henock Inonga anaendelea vizuri na kwamba hajavunjika.

Inonga aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambao umemalizika kwa ushindi wa goli 3-0 baada ya kukanyagwa mguuni na kapteni wa Coastal Union Haji Ugando dakika ya 21 ya mchezo.

Inonga alikimbizwa katika Hospitali ya Temeke jijini Dar kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.

ONANA:- NIMEKOSA …NIMEKOSA MIMI….NIMEKOSA SANA…MAN UTD KUGUMU…!!! HAKIKISHA JINA LINATOKA BALEKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply