Habari za Michezo
Habari za michezo

MAYELE HALI IMEBADILIKA PYRAMIDS

Staff Desk September 26, 2023 3:23 pm

Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ameendelea kuwa na mwanzo mbaya Pyramids baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila kufunga wala kupiga shuti lililolenga goli/on target/kacheza dakika 91 kwenye mechi mbili za ligi mpaka sasa(vs Zamalek na National Bank)

HALI YA KRAMO IKO HIVI SIO WIKI MBILI TENA YANGA WAJA NA JAMBO HILI JIPYA KWENYE MARUDIANO NA AL MAREKH

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply