Habari za michezo

CCM NAO WAJA NA JAMBO LAO DABI YA KARIAKOO…… UNAAMBIWA GOLI MOJA NG’OMBE MMOJA

Staff Desk November 5, 2023 12:44 am

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, kwa Ng’ombe mmoja kwa goli litakalopatikana.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, kwa Ng’ombe mmoja kwa goli litakalopatikana. Makonda ametoa ahadi hiyo kwenye usiku wa hafla ya tuzo za WISAC zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Novemba 04 jijini Dar es Salaam.

KIZAAZAA CHA MZAMIRU YASIN KWENYE DABI, ROBERTINHO ALISEMA HIVI LEO NDIO LEO KAMA HAUNA TIKETI USIONEKANE KWA MKAPA POLISI WATOA ONYO LA KIBABE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply