Habari za michezo
LEO NDIO LEO KAMA HAUNA TIKETI USIONEKANE KWA MKAPA POLISI WATOA ONYO LA KIBABE
Staff Desk
November 5, 2023
11:35 am
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema asiyekuwa na tiketi hataruhusiwa kusogelea uwanja au maeneo ya milango ya kuingia katika mchezo wa Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaopigwa kesho Jumapili Novemba 5, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.