Habari za michezo

SIMBA QUEENS WASHUSHA WINGA MPYA KUTOKA CONGO

Staff Desk November 15, 2023 5:03 pm

Kikosi cha Simba Queens kimefanikiwa kupata saini ya winga Diakiese Isabelle kutoka klabu ya Feminin Espoir kwa mkataba wa miaka miwili.

Diakiese anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Simba Queens kuelekea kuanza msimu mpya wa mashindano 2023/24 ambao unatarajiwa kuanza Desemba 15.

Tayari winga hiyo amejiunga na wenzake kambini na anaendelea na mazoezi chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi.

MASTAA KAMBI YA TAIFA STARS HAINA KUPOA UNAMBIWA HUYO MUSONDA HUKO YANGA NI KUWA KAZINI KWAKE KUNA KAZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply