Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe
Habari za michezo

BAADA YA KIFINYO YANGA WAFUNGUKA HAYA

Staff Desk November 25, 2023 12:15 pm

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amedai kuwa wao walimiliki zaidi mpira lakini wapinzani wao, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika, CR Belouzdad wakamiliki matokeo.

“Tumemiliki mchezo, wenzetu wakamiliki matokeo, It’s Football..Hongera kwao. Hii imekwisha Kituo kinachofuata ni Benjamin Mkapa Daima mbele Nyuma Mwiko,” amesema Ally Kamwe baada ya Yanga kupata kichapo cha goli 3-0.

Desemba 2, Yanga atakuwa na kibaura kingine dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Dimba la Mkapa.

BAADA YA WANANCHI KUSHINDWA KUTAMBA….. HAYA LEO NI MTOKO WA WENYE NCHI HIKI HAPA NDIO KILICHOWAPONZA YANGA DHIDI YA WAARABU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply