ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY
Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa. Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe…
Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa. Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe…
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amedai kuwa wao walimiliki zaidi mpira lakini wapinzani wao, kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya…
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe amesema baba yake Mzee Shaban Ramadhani Kamwe bado ‘amemblock’ kufuatia matokea ya goli 5-1 ya watani wa jadi…
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa kwao uongozi wanajisikia furaha kusikia na kuona kila baada ya mchezo unapomalizika, wachezaji wao…
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Shirika la Bima la Taifa ‘National Insurance Cooperation’ kuwa mdhamini wa Mchezaji Bora wa Mwezi (NIC Player of…
Baada ya Yanga kupangwa kundi “D” ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ikiwa na Al Ahly, Belouizdad na Medeama Afisa Habari Yanga, Ally Kamwe ameandika…
Yanga SC wameingia unyonge baada ya kupangwa kundi D na klabu za Al Ahly,CR Belouzdad na Medeama ya Ghana katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Alichokiandika…
Yanga SC wamesema Mahlatse Makudubela Manoka ‘Skudu’ yupo na muda ukifika wa kucheza basi Wanayanga watamuona uwanjani akiitumikia klabu yake. Akizungumza na Wasafi FM, Afisa…
Klabu ya Yanga imesema kuwa wakati huu ambapo ligi imesimama wanataraji kucheza mchezo wa kirafiki siku ya Jumapili lakini jina la timu bado halijawekwa hadharani.…