Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe
Habari za michezo

YANGA HALI TETE LIGI YA MABINGWA ALLY KAMWE ATOA KAULI TATA

Staff Desk October 7, 2023 4:49 pm

Yanga SC wameingia unyonge baada ya kupangwa kundi D na klabu za Al Ahly,CR Belouzdad na Medeama ya Ghana katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Alichokiandika Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe kwamba wanaenda kupima kikosi cha mbele ya timu zenye ubora ni wazi kwamba wameshaona hawana uwezo wa kuvuka hatua hiyo.

Hata mashabiki wa Yanga nao wameingia unyonge ambapo kwao kufika hatua ya makundi ndio ilikuwa lengo la Klabu yao na hayo mengine ikitokea itakuwa ni bonasi tu.

Hatua ya Makundi ndio eneo ambalo Yanga wanapaswa kuonyesha ubora wao na kuweka standard yao Kimataifa kama vile Simba ambao hii hatua hawana wasiwasi nayo.

JIPATE WIKIENDI HII NA MERIDIANBET KUPITIA KIPUTE KATI YA ARSENAL DHIDI YA MAN CITY … OSCAR OSCAR AMLIPUA SKUDU WA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply