Habari za Yanga leo
Habari za michezo

OSCAR OSCAR AMLIPUA SKUDU WA YANGA

Staff Desk October 7, 2023 4:54 pm

Ili uwe salama kwenye mpira wetu cheza hizi Simba na Yanga na hata Azam pia kuna ulinzi fulani hivi unaupata ambapo kwenye timu nyingine kwa kiasi kikubwa huenda ukaukosa.

Kwa picha ya kawaida Skudu Makudubela au wachezaji wa aina yake na kiwango anachokionyesha angekuwa anacheza kwenye vilabu vingine hali ingekuwa mbaya zaidi kwake.

Kuna vitu vingi sana vya kumuingiza kwenye lawama au wasiwasi wa hiki kiwango chake anachokionyesha tangu atue Yanga,kumekuwa na mporomoko na kukosa muendelezo kutoka upande wake.

Lakini kwa bahati nzuri anatetewa na aina ya timu anayocheza na aina ya matokeo yanayopatikana kwake ni nzuri kama angekuwa anacheza timu nyingine hali ingekuwa mbaya zaidi kuliko ilivyo kwa sasa anapocheza Yanga.

YANGA HALI TETE LIGI YA MABINGWA ALLY KAMWE ATOA KAULI TATA HAWA HAPA NDIO WAPINZANI WA SIMBA,YANGA KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply