Habari za michezo

ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY

Staff Desk November 27, 2023 11:29 am

Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa.

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe anasema mchezo wa Jumamosi hautakuwa na utani hata chembe kwao na hasa baada ya kupoteza alama tatu ugenini mbele ya CR Beloiuzdad

“Unajua Yanga SC inapodhamiria jambo ikaenda na nguvu moja na matokeo yake ndio mnara unasoma kwa hiyo tunapoenda Jumamosi Yanga SC tukiwa na lugha moja tunataka ushindi mbele ya Al Ahly na utapatikana inshallah, tutaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa.”- amesema Afisa Habari wa Yanga SC,

MNARA AMTAJA GMS ISHU YA YEYE KUJIUNGA NA YANGA MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply