RAISI WA HESHIMA SIMBA...MO DEWJI AMSAMEHE HAJI MANARA..."NIMEMSAMEHE
Habari za michezo

MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA

Staff Desk November 27, 2023 11:31 am

Aliyewahi kuwa msemaji wakLabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa baada kuteuliwa jwa barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, yeye alimpigia simu Mohammed Dewji na kuomba aondoke.

Manara amesema alifanya hivyo kwa sababu alijua fika kuwa hatoweza kufanya kazi na dada huyo kutokana na tabia zake.

“Mo Dewji hana shida na mimi, mimi na yeye hatukuwahi kuwa na shida, kwanza Dewji anapenda watu wa aina yangu watu wanaoprotect timu lakini sasa wakawa wanamjaza kwamba Haji anakuwa maarufu kuliko wewe.

“Tukienda uwanjani mimi ninambwembwe na najua kujibrand siwezi kuingia uwanjani kabla uwanja haujajaa sasa ile wakawa wanamjaza kwamba wewe ndio unatoa hela lakini anasifiwa Haji, mimi nilimwambia hawa wanakujaza,” amesema Hajis Manara.

ALLY KAMWE AJA NA MKWARA WA 5G DHIDI YA AL AHLY KISA SAFARI YA ZANZIBAR ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE FEI TOTO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply