Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe
Azam FC

KISA SAFARI YA ZANZIBAR ALLY KAMWE AMPIGA KIJEMBE FEI TOTO

Staff Desk November 27, 2023 11:34 am

Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja Zanzibar.

Ally kamwe amewapiga kijembe Azam FC kama wangempata Mchezaji kama Pacome wangemchukua na kupiga nae picha kwenye boti ya Azam FC baada ya kufanya hivyo kwa Feisal Salum ‘Feitoto’

MANARA AFUNGUKA KUHUSU MO DEWJI NA AINA YA WATU ANAOWAPENDA MASTAA SIMBA WAFUNGUKA KUHUSU UGAMVI UNAOENDELEA KWENYE KLABU HIYO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply