kimataifa
NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58…MNAOSEMA SAIDO MZEE MPO WAPI?
Marce Ben Komba
April 18, 2024
9:31 am
‘Jobe, Fredy ni usajiri mbovu kwa @simbasctanzania , Saido umri umeenda” – Mzee Mwenda
Nyota wa zamani wa Brazil na mshindi wa kombe la Dunia 1994 Romario ametangaza kurejea tena uwanjani kwenye soka la ushindani.
Romaro kwa sasa ana umri wa miaka 58 na amejiunga na timu ya America of Rio de Janeiro