Home Meridianbet SIKU YA KUCHUKUA MKWANJA EPL NI LEO….

SIKU YA KUCHUKUA MKWANJA EPL NI LEO….

Meridianbet

Katika ile siku ya kunyakua mkwanja kupitia Meridianbet pale Epl ni leo ambapo kutakua na michezo kadhaa mikali ambayo itakwenda kupigwa katika madimba tofauti tofauti, Huku mchezo wa mahasimu kati ya Arsenal Vs Man United ukivuta hisia za watu wengi.

Arsenal leo watakua nyumbani kuikaribisha Man United kwenye dimba lao la Emirates ambapo washika mitutu wa London wakipewa nafasi nzuri zaidi ya kushinda mchezo huo, Huku Man United nao wakiwa si haba kwani mpaka sasa kwenye michezo yao saba ya mwisho hawajafungwa.

Vijana wa Mikel Arteta wameshinda michezo mitatu mfululizo ya mwisho kwenye ligi kuu ya Uingereza waliyokutana  na Man United, Hivo swali ni kua leo wataendelea walipoishia au Man United wataweza kufuta uteja ambao wamekua nao michezo mitatu iliyopita.

Mchezo huu umepewa Odds nono sana pale Meridianbet hivo unaweza kuweka mkwanja wako kwa timu yeyote kati ya hizi na ukaondoka na mkwanja wa kutosha kwenye mchezo huu ambao umeibeba Jumatano ya leo.

Bashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Leo ambapo ligi kuu ya Uingereza itapigwa  unaweza kushinda mkwanja wa kumwaga kupitia michezo ambayo itapigwa.

Leo ligi kuu ya Uingereza itapigwa michezo mingine mikali ambapo Manchester City watakipiga Vs Nottingham Forest, Newcastle Vs Liverpool, Southampton Vs Chelsea kule Hispania Athletic Bilbao wataikaribisha Real Madrid katika mchezo wa ligi kuu nchini humo.

SOMA NA HII  TUSUA NA MERIDIANBET MECHI ZA EURO LEO....ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA...