Home Meridianbet FUNGA NA KUFUNGUA MWAKA KIBABE NA MKWANJA HUU WA MERIDIANBET…

FUNGA NA KUFUNGUA MWAKA KIBABE NA MKWANJA HUU WA MERIDIANBET…

Meridianbet

Kupitia Promosheni ya kibabe inayoendelea mjini kwasasa kupitia Meridianbet ya Kalenda ya mwaka inakuapa fursa ya kushinda zawadi kabambe kila siku kwa kipindi cha mwezi mmoja ambacho promosheni hii itakua ikiendeshwa.

Kwakua kila siku promosheni hii itakua inatoa nafasi ya wachezaji kushinda zawadi ambapo kila siku itakua na mchezo wake wa kasino ambao umewekwa ili kuhakikisha watu wanaucheza na kujishindia zawadi na bonasi mbalimbali.

Ikumbukwe Promosheni hii imeanza tarehe 20 mwezi 12 2024 na inatarajiwa kumalizika tarehe 20 mwezi 1 2025, Kwani promosheni hii itadumu kwa muda wa mwezi mmoja kama ilivyoelezwa hapo mwanzo.

Kama ilivyo kawaida promosheni wote ambao wataruhusiwa kushiriki promosheni hii ni wale wote ambao wamejisajili kupitia tovuti ya Meridianbet, Huku Promosheni mshiriki ataruhisiwa kushiriki kupitia akaunti moja pekee.

Zawadi na bonasi zinashindwa kila siku katika kipindi cha promosheni kupitia michezo mbalimbali kwa mfano tarehe 8 ya mwezi wa kwanza Jumatatu mchezo wa kasino wa Aviator ndio utatumika kwa washiriki na utatoa zawadi kwa washiriki na hiyo inaendelea kila siku ambayo promosheni iakuepo.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

SOMA NA HII  SHINDA MAMILIONI YA MERIDIANBET KASINO, CHEZA EXPANSE TOURNAMENT......