Home Meridianbet SHINDA MAMILIONI LEO KWA KUBASHIRI CARABAO CUP NA SPANISH SUPER CUP LEO….

SHINDA MAMILIONI LEO KWA KUBASHIRI CARABAO CUP NA SPANISH SUPER CUP LEO….

Meridianbet

Michuano ya kombe la EFL Carabao Cup pamoja Spanish Cup ndio mpango mzima leo ambapo itapigwa michezo miwili ambayo inaweza kuhakikisha unanyakua maokoto ya kutosha na wiki yako kwenda vizuri kabisa.

Michuano ya kombe la EFL Carabao Cup inaendelea leo na ni hatua kubwa ya nusu fainali itachezwa ambapo klabu ya Tottenham Hotspurs itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Liverpool vinara wa ligi kuu ya Uingereza.

Mchezo ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa na idadi kubwa ya magoli kwani mara ya mwisho vilabu hivo kukutana vilikua kulikua na idadi kubwa ya mabao, Ambapo Liverpool walifanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 6-3.

Mchezo huu wa nusu fainali kama ilivyo kawaida utapigwa katika mikondo miwili kwa maana nyumbani na ugenini na lei Tottenham wamepata nafasi ya kuanzia nyumbani, Huku mchezo unaofuata utachezwa Anfield wiki kadhaa zijazo.

Huu unaweza kua msimu wa klabu ya Tottenham kuondoa rekodi mbaya ya muda mrefu ya kushindwa kutwaa mataji, Kama watafanikiwa kuitupa Liverpool nje kwenye michuano hiyo ambapo watapata nafasi ya kucheza fainali baina ya Newcastle United au Arsenal.

Mchezo mwingine utachezwa pale nchini Hispania ambapo michuano ya Spanish Super Cup itachukua nafasi na klabu ya Athletic Club itaikaribisha Barcelona kumenyana nao katika mchezo ambao ni wazi utakua mgumu kwa timu zote mbili.

Timu hizo mbili zilipokutana kunako ligi kuu ya Hispania msimu huu Barcelona walifanikiwa kupata matokeo ya ushindi japokua mchezo ulikua mgumu kwelikweli, Hivo hata leo mchezo unatarajiwa kua wenye ushindani kwani kila timu itahitaji kushinda mchezo huu ili kujitengenezea mazingira ya kutwaa taji la kwanza msimu huu.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

SOMA NA HII  MSHINDI KUVUNA MIL 400/= TZS SHINDANO LA EXPANSE..