Home Michezo Meridianbet PESA NJENJE LEO, LIGI KUU UINGEREZA KUJA NA NEEMA MERIDIANBET…..

PESA NJENJE LEO, LIGI KUU UINGEREZA KUJA NA NEEMA MERIDIANBET…..

0
Meridianbet

Wikiendi imeanza kibabe kwa mfululizo wa mechi kutoka ligi bora zaidi duniani, Ligi kuu Uingereza. Muda wa kukaa na kuburudika kwa mbungi la ushindani na vita ya kupata alama tatu ndio huu sasa. Na kwa wale wazee wa kuisaka faida, huu ni wakati sahihi wa kuingia Meridianbet na kuandaa jamvi lako la ushindi kwa odds kabambe.

Vita ya alama tatu inaanza mapema Gtech Community Stadium ambapo mwenyeji Brentford anawakaribisha mashetani wekundu, Manchester United. Brentford wapo nafasi ya 17 wakiwa na alama nne huku Man United walio na alama saba wakiwa nafasi ya 11. Odds za mchezo huu ni za kibabe sana pale Meridianbet.

Vilevile, kutoka darajani ni mabingwa wa Dunia Chelsea wanaoshuka uwanjani kuwakabiri vijana wa Fabian Hürzeler, Brighton kwenye mchezo unaotazamiwa kuwa na burudani ya kipekee kwani michezo mitatu ya mwisho timu hizi kukutana Chelsea alikubali vipigo mara mbili na yeye akipata ushindi mechi moja.

Bingwa mtetezi, Liverpool watakua uwanjani ugenini wakicheza dhidi ya Crystal Palace. Mara ya mwisho timu hizi kukutana ni kwenye fainali ya ngao ya jamii ambapo Liverpool walikubali kupoteza fainali hizo. Liverpool wanaingia uwanjani wakiwa na rekodi ya kutokupoteza mchezo wowote wa ligi wakiwa kileleni na alama 15. Bashiri mchezo huu pale Meridianbet.

Lakini Meridianbet haikuishia hapo. Mbali na Bonanza, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Baada ya kulazimishwa suluhu ya dakika za jioni na Arsenal, wababe wa jiji Manchester watawakaribisha Burnley pale Etihad stadium kurusha karata nyingine na kuhakikisha wanapambania alama tatu muhimu ili kujiweka kwenye nafasi za juu za msimamo wa ligi na kuendelea kuwakimbiza wapinzani wao, Liverpool. Burnley anaingia mchezoni akiwa na ushindi mmoja pekee kwenye michezo yake mitano.

Thomas Frank atawaongoza vijana wake wa Tottenham kuzipigania alama tatu dhidi ya Wolves. Wolves wamekua na mfululizo wa matokeo mabovu wakiwa wamecheza michezo mitano bila kupata alama yoyote na wanashikilia mkia kwenye msimamo wa ligi huku Tottenham wakiwa wapo nafasi ya tatu. Hii mechi ipo wazi kwa wabashiri ingawa siku zote mpira una matokeo ya kushangaza. Odds za mchezo huu ni za bure kabisa kwako mbashiri.

Usikubali wikiendi iishe kinyonge wakati uwezo wa kusuka jamvi lenye faida upo kwa kupitia Meridianbet. Machaguo kwenye mechi ni mengi sana na una uhuru wa kuamua mkeka wako ukae vipi. Jisajili sasa na meridianbet na Jumamosi yako iwe ya ushindi.