Home Habari za michezo UTAJIRI WAKO UMEANDIKWA NDANI YA BOOKS OF EGYPT YA MERIDIANBET

UTAJIRI WAKO UMEANDIKWA NDANI YA BOOKS OF EGYPT YA MERIDIANBET

0

Mtaa unazungumza leo, na si stori za kawaida, ni habari ya moto kutoka Meridianbet. Wamekuja na mchezo wa Books of Egypt kutoka Expanse Studios, unaokurudisha moja kwa moja kwenye enzi za mafarao ambapo kila aliyethubutu alitoka na hazina. Hapa ni akili na moyo wa kuamini kuwa siku yako ipo. Ukicheza vizuri, unageuza stori yako kuwa ya pesa.

Usije ukadharau alama ya kitabu ndani ya huu mchezo, maana hiki si kitabu cha kusoma bali ni funguo ya kufungua milango ya utajiri. Kinafanya kazi mbili kwa mpigo, scatter na wild, kitu ambacho kinabadilisha kila kitu uwanjani. Ukipata vitabu vitatu au zaidi, basi jua umepata mizunguko ya bure, na hapo ndipo mashine inaanza kukulipa kama umeikera.

Meridianbet wanakupa jukwaa pana la kubashiri, mechi kali za kimataifa hadi michezo ya kasino mtandaoni iliyojaa burudani. Ukiwa na odds zenye ushindani mkubwa, kila tiketi inakuwa na thamani zaidi. Jiunge sasa kupitia tovuti yao au piga *149*10#.

Kwenye Books of Egypt, kila mzunguko ni nafasi ya kuandika historia mpya. Ushindi wote unalipwa kuanzia kushoto kwenda kulia, lakini kama kuna scatters, mambo yanabadilika kabisa. Na sio hivyo tu, kuna alama maalum inayokua, ikikupa ushindi hata pale ambapo wengine wameshakata tamaa.

Wabashiri wa mtaani wanajua, hela haiji kwa kubahatisha tu, inahitaji subira na maamuzi sahihi. Huu mchezo umebeba kila kitu, msisimko, nafasi kubwa za kushinda, na ladha halisi ya ushindi. Ukiingia humo na mtaji mdogo tu, unaweza kutoka na stori ya kusimulia vijiweni kwa wiki nzima.

Sasa ndio wakati wako wa kuingia kwenye ramani ya ushindi. Huitaji kusafiri ili kuijua Misri, Meridianbet wamekuleta Misri mkononi mwako. Chukua nafasi yako, ingia Books of Egypt, na acha mafarao wakusindikize kuelekea kwenye pesa.