Je unajua kuwa Cecs Fabregas amekuwa ni nguzo ya mafanikio kwa klabu ya Como 1907 na amekuwa na msaada mkubwa kwa kuwafanya baadhi ya wachezaji kuwa na ubora mkubwa zaidi. Je msimu huu watamaliza wapi?
Je unajua hadithi ya Como 1907 chini ya Cesc Fabregas si tu ya matokeo mazuri, bali ni simulizi ya mabadiliko makubwa ndani ya klabu. Hii si Como ya zamani iliyokuwa ikipambana kuishi tu kwenye ligi, bali ni timu inayojitambua, yenye mwelekeo na inayocheza soka la kuvutia linalowafanya mashabiki na wachambuzi waanze kuiangalia kwa jicho tofauti kabisa.
Kocha huyo ameleta kitu kipya na mtazamo wa kisasa ndani ya timu unaochanganya nidhamu ya kiufundi na uhuru wa ubunifu. Como wanapocheza, kuna utulivu unaoonekana wazi kwani hawakimbilii mipira mirefu bila mpangilio, bali wanajenga mashambulizi kwa akili na mpangilio mkubwa. Hii imewapa uwezo wa kuhimili presha ya ligi ngumu kama Serie A, na kuanza kuchukua pointi muhimu hata dhidi ya timu zinazopigiwa upatu zaidi.
Kwenye msimamo wa mbio za kuwania nafasi za kucheza michuano mikubwa Ulaya Como wamejijenga kama washindani wasiotabirika. Hawategemewi sana, lakini wana uwezo wa kuharibu mipango ya timu yoyote kwa jinsi ambavyo wamejijenga, baadhi ya wachezaji wamekuwa na viwango vizuri chini ya kocha hiyo.
Leo hii michezo ya Kasino ya Mtandaoniinakupa mkwanja cheza, Keno, Aviator, Poker, Roulette,Wild Icy Fruits,Super Helina mingine kibao ujishindie pesa nyingi hapa. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tzau piga *149*10#kisha uanze safari yako ya ushindi.
Licha ya kuanza ligi kwa kusuasua, Como wameonyesha uthabiti mkubwa katika mechi za hivi karibuni, wakikusanya pointi 58 hadi sasa kwenye ligi wakiwa nyuma pointi 17 dhidi ya kinara wa ligi Inter Milan. Je unadhani Farbegas a vijana wake wanaweza kumaliza nafasi ya ngapi?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Suka jamvi hapa.
Safari ya Como 1907bado inaweza kuwa na changamoto kubwa kutokana na ushindani mkali wa SERIE A kwani tofauti ya pointi zao an wengine sio mkubwa sana hivyo kuongeza presha kwa mashabiki na timu kwa ujumla na kuilazimu timu kupambana kwa hali na mali kwenye kila mechi.
Hivyo basi kwa ujumla, Como 1907 chini ya Cesc Fabregas wamebadilika kutoka kuwa timu ya kupambana kushuka daraja hadi kuwa timu ya kupambania nafasi za kushiriki michuano ya Ulaya.