Tengeneza Pesa na Mechi za Leo
Timu kibao leo hii zitakuwa uwanjani kusaka tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya mabingwa msimu ujao. Wakali wa ubashiri wamekuwekea Odds uzitakazo na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri hapa.
Mechi hii ya Kairat Almaty dhidi ya Omonia Nicosia ni moja ya mechi za kibabe ambazo zinatarajiwa kupigwa siku ya leo ambapo wenyeji wanahitajii wanaingia kwenye mchezo huu kwenda kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana kwa bao 1-0 kule nchini Cyprus.
Je unajua kuwa Omonia Nicosia ni timu yenye uzoefu mkubwa katika mashindano ya Ulaya na hucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, hasa katika safu ya ulinzi?. Kwa kuwa tayari wana faida ya bao moja, huenda wakacheza kwa tahadhari wakisubiri nafasi za kushambulia kwa kushtukiza. Jisajili na usuke jamvi hapa.
Wakati kwa upande wa wenyeji yaani Kairat watalazimika kushambulia tangu mwanzo ili kusawazisha matokeo ya jumla, jambo ambalo linaweza kuacha nafasi nyuma kwa Omonia kutumia mashambulizi ya haraka.
Ukiachana namechi hiyo, Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Hii ni mechi ambayo kila timu inaitazama kwa jicho lingine kabisa kwani mpaka sasa bao moja sio kubwa hivyo meza inaweza ikapinduliwa na matokeo yakawa mengine kabisa. Odds kubwa zipo Meridianbet kwenye mechi hii. Ingia na ubeti hapa.
Kairat anaweza kushinda nyumbani au kulazimisha sare, lakini Omonia ana nafasi nzuri ya kusonga mbele kutokana na faida ya mchezo wa kwanza. Je wewe unaona nani anaondoka na ushindi wa moja kwa moja?
Mechi nyingine ni hii ya Fenerbahçe Instanbul ambao wao watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Gornik Zabrze ambao hawapewi nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwenye mchezo huu wa leo.
Fenerbahce wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na nafasi kubwa ya kushinda kutokana na ubora wa kikosi chao, uzoefu wa michuano ya kimataifa na matokeo mazuri ya maandalizi ya msimu. Timu hiyo imeonyesha makali ya kushambulia na imekuwa ikifunga mabao mengi katika mechi za hivi karibuni.
Kwa upande wa Górnik Zabrze, licha ya kuwa na faida ya kucheza nyumbani, watakuwa na kibarua kizito dhidi ya timu yenye wachezaji wa kiwango cha juu. Ili kupata matokeo mazuri, watalazimika kuwa imara kwenye safu ya ulinzi na kutumia vizuri nafasi chache watakazopata kupitia mashambulizi ya kushtukiza.
Lakini hii ni mechi ya mtoani hivyo lolote linaweza kutokea timu ambayo imejipanga vilivyo inaweza ikaondoka na ushindi tena mnono kabisa. Meridianbet inakwambia kuwa tengeneza pesa yako kupitia mechi hii. Beti sasa.