Ubashiri wa Soka Leo
Meridianbet

Dau Dogo, Ushindi Mkubwa Kwaajili Yako

Vardo September 13, 2026 9:10 am

Je unajua kuwa ukiwa na dau dogo, unaweza ukajipatia ushindi mnono?. Basi karibu ujiunge na mabingwa wa ubashiri Tanzania utengeneze historia yako ya kuwa Milionea leo.

LIGUE 1 leo hii kutakuwa na mechi nyingi za kutengeneza jamvi, lakini ngoja tuangalie mechi ya bingwa mtetezi PSG ambaye atakuwa ugenini dhidi ya Brest ambao wanahitaji kupata ushindi wakiwa nyumbani.

PSG wameanza simu vibaya sana kwani kwenye mechi 3 ambazo wamecheza hadi sasa hawajafanikiwa kupata pointi tatu hivyo huenda hii ni mechi ambayo wanaenda kuitazama kwa jicho lingine kwani wanahitaji kusaka ushindi mnono kwenye mechi hii.

Paris wametoka kupata ushindi mkubwa kwenye UEFA ambao umewarudishia kujiamini kwoa kulekea mechi hii ya ligi, hivyo hii ni nafasi yao kuitumia vyema kuhakikisha wanapata ushindi wa kwanza.

Na takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili kwenye mechi 5 za mwisho wlaizokutana vijana wa Enrique wameondoka na ushindi huku wenyeji wao wakiwa hawajawahi kupata ushindi wowote. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi hapa. 

Mkwanja mnono upo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Uingereza kutakuwa na mechi ya EPL, kali kabisa ambayo ni Manchester Derby kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City ambapo hii ni mechi ya kibabe tunayoenda kushuhudia kwani timu zoe zimejiandaa vyema kupata ushindi kwenye mtanange huu wa leo.

Timu hizi zimekutana mara nyingi sana lakini takwimu zinasema kuwa United imeondoka na ushindi mara nyingi zaidi, huku msimu uliopita kila mtu akihsinda nyumbani kwake.

Lakini vijana wa Carrick wameanza msimu kwa kusua sua kwani kwenye mechi 3 ambazo wamecheza wameshinda mechi moja, kipigo kimoja na sare moja, huku vijana wa Maresca wao wakiondoka na ushindi kwenye mechi zote 3 walizocheza. Beti mechi hii.

Hii ni mechi ambayo United wanahitaji kuthibitishia mashabiki zao kuwa bado wana nafasi ya kupambana kwenye mashindano makubwa na mechi kubwa kwani wote tunawajua linapokuja suala la kucheza mechi kubwa. Odds kubwa zipo hapa.

Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii inaweza ikakupatia zaidi ya machaguo 1000, hivyo ingia kwenye akaunti yako na uweze kusuka jamvi la ushindi siku ya leo.

Pia kule Hispania LALIGA kutakuwa na mechi za kukata na shoka lakini sisi tutajikita kwenye mtanange wa Real Sociedad dhidi ya Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao mechi mbili za mwisho kwenye mashindano yote wamepoteza.

Sociedad wanahitaji kupata ushindi wakiwa nyumbani huku wakiwa wameshinda mechi mbili kwenye 5 walizocheza huku tawkimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana Atletico waliondoka na ushindi. Je nani unampa nafasi ya kuondoka na pointi 3 siku ya leo pale Meridianbet?. Jisajili hapa.

Kila timu inataka kupata matokeo mazuri siku ya leo huku wakali wa ubashiri wakisema kuwa vijana wa Diego Simeone wao wanapenda kucheza mpira wa kujilinda zaidi hivyo inaweza ikawa ni mechi ambayo haina magoli mengi zaidi. Suka jamvi lako hapa. 

Dabi ya Manchester: Mambo 6 Yatakayoamua Vita ya Man United vs Man City Leo Halloween 2026 Yaanza Mapema Meridianbet Kupitia Gates Of Halloween