Zawadi Kubwa Zimeletwa, Galaxy A26 Tatu Ziko Hatarini Kutua
Wapenzi wa michezo na burudani, safari hii Meridianbet imekuja na kitu cha ziada. Kuna simu tatu mpya kabisa za Samsung Galaxy A26 ambazo zinasubiri wachezaji watakaofanikiwa kwenye promosheni maalum. Hii ni nafasi ya kipekee kwa kila anayefurahia kubashiri michezo au kucheza kasino kuingia kwenye kinyang’anyiro cha zawadi huku akiendelea na burudani yake kama kawaida.
Iwe unapenda soka, mpira wa kikapu au michezo mingine inayopatikana Meridianbet, fursa hii iko wazi kwako. Mashabiki wa kasino nao wanaweza kushiriki, kwa sababu promosheni hii imeandaliwa kuwakutanisha wachezaji wa aina mbalimbali. Unachohitaji ni kuwa na akaunti, kutumia tovuti au App ya Meridianbet na kushiriki kwa kuzingatia masharti ya promosheni.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kila dau linalokidhi masharti linaweza kukuongezea nafasi ya kufikia droo ya washindi. Hivyo, kadri unavyoendelea kushiriki kwenye michezo unayoipenda, ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kuwania zawadi hiyo. Mwisho wa safari, washiriki watakaokidhi vigezo wataingia kwenye droo, ambapo washindi watatu watapata fursa ya kuondoka na Samsung Galaxy A26 mpya kabisa.
Lakini kama ilivyo kwa kila promosheni yenye ushindani, masharti ni muhimu. Kila mtumiaji anaruhusiwa nafasi moja pekee, wakati Turbocash na System Ticket hazitahesabiwa kwenye promosheni hii. Hivyo, kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyiro, hakikisha unafuata masharti yote ili usikose kushindania zawadi.
Simu mpya inaweza kuwa karibu kuliko unavyofikiria. Jisajili au ingia Meridianbet, endelea kufurahia michezo yako pendwa na jiweke kwenye nafasi ya kuwania moja kati ya Galaxy A26 tatu. Wakati wengine wakisubiri kusikia majina ya washindi, wewe unaweza kuwa tayari umejiweka kwenye mstari wa ushindi.