Everton vs Wolves EFL Cup
Meridianbet

Everton, Wolves Kukutana Kwenye Vita ya Raundi ya Tatu EFL Cup

Vardo September 16, 2026 3:13 pm

Everton itakuwa mwenyeji wa Wolves katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la EFL carabao cup utakaopigwa leo Jumatano, Septemba 16, 2026. Mchezo huo utachezwa katika Uwanja wa Hill Dickinson Stadium kuanzia saa 21:45 usiku, huku timu zote zikilenga kupata ushindi na kusonga mbele katika hatua inayofuata.

 

Everton itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na dhamira ya kutumia faida ya kucheza nyumbani kupata matokeo mazuri. Kikosi hicho kinahitaji kuwa makini tangu mwanzo kutokana na umuhimu wa mchezo wa mtoano, ambapo kosa moja linaweza kuamua hatma ya timu katika mashindano hayo.

 

Kwa upande wa Wolves, safari ya kwenda Hill Dickinson Stadium itakuwa nafasi ya kuonyesha ushindani na   kutafuta tiketi ya raundi ya nne. Timu hiyo inashiriki msimu huu ikiwa kwenye Championship baada ya kushuka daraja kutoka Premier League, hivyo Kombe la EFL linaweza kuwa sehemu muhimu ya kuendelea kujenga ushindani wa kikosi.

 

Mchezo huu pia unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya kukutana kwa timu hizo. Everton itakuwa ikitegemea nguvu ya mashabiki wake na uzoefu wa wachezaji wake, wakati Wolves wanatarajiwa kujaribu kutumia nidhamu ya kiufundi na mashambulizi ya haraka kuwapa presha wenyeji.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema.  Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa ujumla, Everton inaonekana kuwa na nafasi nzuri kutokana na kucheza nyumbani, lakini Wolves wanaweza kufanya mchezo kuwa mgumu ikiwa wataweza kuwa imara katika ulinzi na kutumia vizuri nafasi watakazopata.

 

Ushindi kwa timu yoyote utaifanya isonge mbele hadi raundi ya nne ya EFL Cup, hivyo kila upande utakuwa na sababu ya kupigania matokeo hadi dakika ya mwisho.

Katwila Aeleza Sababu za Geita Gold Kufungwa na Yanga | Ligi Kuu Zawadi Kubwa Zimeletwa, Galaxy A26 Tatu Ziko Hatarini Kutua