Msimu wa Kijanja wa Kutengeneza Pesa ni Huu
Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na kitita cha mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako sasa. Mechi nyingi kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku wewe kwa dau dogo tuu unaibuka bingwa.
SERIE A, mechi ni nyingi sisi tutaangazia mechi ya AC Milan dhidi ya Atalanta ambao kwenye msimamo wa ligi wanapishana pointi 3 pekee hadi sasa.
Vijana wa Amorim wakiwa nyumbani pale wanahitaji ushindi wa pointi 3 baada ya kupata sare kwenye mechi yao iliyopita, wakati wenyeji wao waliondoka na ushindi mnono wakiwa nyumbani kwao.
Milan wanahitaji kulipa kisasi baada ya kupigika mechi ya mwisho walivyokutana na Atalanta. Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii inaweza ikabadili maisha yako leo. Tandika jamvi lako la ushindi sasa.
Chukua mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
EPL kuendelea kwa michezo mingi ambapo Leeds United atamenyana dhidi ya Manchester United ambao wamekuwa na msimu mbovu na wametoka kupata sare mechi yao iliyopita hivyo ushindi ni muhimu sana.
Kwa upande wa Leeds wao pia wametoka kupoteza pia mechi iliyopita, hivyo nao kwa jicho lingine wanautazama mchezo huu kuwa wa kuwapatia pointi 3 wakiwa nyumbani kwao pale. Lakini je wataweza kuondoka na ushindi?. Jisajili hapa.
Michael Carrick mpaka sasa kwenye mechi 6 alizocheza ameambulia pointi 6 hivyo hii ni moja ya mechi muhimu sana kwake kwani pia ametoka kupoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa, huku baadhi ya wachezaji kama Lisandro Martinez akitoa ya moyoni kuhusu klabu hiyo.
Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 3 na mara ya mwisho kukutana hawa wawili, United alipoteza. Je Leeds kuendeleza ubabe wake au Manchester watalipa kisasi?. Bashiri hapa.
Mtanange mwingine ni huu wa Bingwa mtetezi Arsenal ambaye atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Nottingham Forest ambao wapo nafasi ya 15 wakiwa na pointi 5 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.
The Gunners chini ya Mikel Arteta wanahitaj kutetea taji lao na msimu huu tena hivyo uhsindi huu ni muhimu sana kwao kwani utawafanya waendelee kushika nafasi ya 2 kwenye msimamo, huku Forest wao wanataka ushindi kujiondoa kwenye nafasi mbovu waliyopo.
Meridianbet wanakwambia kuwa Odds kubwa zipo kwenye mechi hii, hivyo tengeneza jamvi lako la ushindi siku ya leo. Je nani ataondoka na ushindi hapa?. Beti mechi hii sasa.
LALIGA mechi zipo kibao lakini mtanange ambao utakuwa wa kibabe ni huu wa Real Madrid dhidi ya Sevilla mchezo ambao utakuwa ni muhimu sana kwa vijana wa Jose Mourinho kwenye mbio za kutetea taji lao msimu huu.
Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi, huku wenyeji wakiwa wametoka kupata ushindi mwembamba kwenye mtaange wao uliopita, lakini wageni wao walishindwa kufurukuta na wakapata pointi moja pekee mechi iliyopita.
Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili msimu uliopita, Real aliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili. Je leo hii Sevilla anaweza akalipa kisasi akiwa ugenini?. Machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja kwenye mechi hii.