Meridianbet

Meridianbet Yaleta Mwanga Wa Tumaini Tandale

Vardo November 14, 2026 7:54 pm

Meridianbet, kampuni inayoongoza katika burudani ya michezo ya ubashiri na pia uwekezaji wa kijamii, imeendelea kuonyesha moyo wa kusaidia jamii kupitia zoezi maalum la kugawa vyakula kwa familia zenye uhitaji. Zoezi hilo limefanyika eneo la Tandale jijini Dar es Salaam likilenga kuleta faraja kwa kaya zinazokumbwa na changamoto za maisha ya kila siku.

Katika ugawaji huo, familia zimepata msaada wa bidhaa muhimu za chakula na mahitaji ya nyumbani kama vile mchele, unga, sukari na mafuta ya kupikia pamoja na bidhaa za usafi. Lengo kubwa likiwa ni kuhakikisha kila familia inapata mahitaji ya msingi yanayoweza kusaidia kupunguza mzigo wa maisha.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Nancy Ingram kutoka Meridianbet alisema kuwa kampuni inatambua hali ngumu wanayopitia baadhi ya wananchi. Alisisitiza kuwa kila familia inastahili kuishi kwa heshima na kupata chakula cha kutosha, na kwamba msaada huo ni sehemu ya kujenga matumaini mapya katika jamii.

Wanufaika wa msaada huo walieleza furaha na shukrani zao kwa Meridianbet, wakisema msaada huo umefika kwa wakati muafaka. Wengi wao walieleza kuwa umewasaidia sana katika kipindi kigumu na kuwapa nguvu mpya ya kuendelea na maisha kwa matumaini zaidi.

Zaidi ya zoezi hili la Tandale, Meridianbet inaendelea kuonesha dhamira yake ya kusaidia jamii kupitia miradi mbalimbali ya kijamii kama misaada kwa watoto yatima, elimu kwa vijana, maboresho ya mazingira na kampeni za afya.

UEFA Nations League Leo Pamoto