FEI TOTO ATAJA KIKOSI BORA CHA MSIMU…AMTAJA POCOME…CHAMA NJE
Kiungo wa Zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto‘ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya…
Kiungo wa Zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto‘ ambaye amepachika mabao 19 msimu huu akisema ndio msimu wake bora licha ya…
NASRADDINE NABI Aliyewahi Kuifundisha Yanga SC na kutwaa mataji yote ya ndani, Muda wowote anaweza kutangazwa kama kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini…
Simba Queens ipo katika mazungumzo na beki wa kati wa Yanga Princess, Noela Luhala anayemaliza mkataba wake na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Simba…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2023/2024 Klabu ya…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha sajili zao mapema. Timu hizo ni Simba, Yanga, AZAM FC na…
NI MWENDO wa Kimya kimya tu baadae kila kitu kitakuwa sawa, Simba naona wamechagua kufanya mambo yao kwa siri, hususani mabadiliko ndani ya Uongozi na…
UNAIKUMBUKA Mamelodi Sundowns ya Pitso Mosimane? huenda huko mbali, je hii Mamelodi ya Rulani Mokwena? kwenye ubora ule na kiwango kile nyuma yake alikuwepo Kocha…
INAELEZWA kwamba Uongozi wa Simba SC utaachana na Kaimu Kocha Mkuu wa klabu hiyo Juma Mgunda ambaye amedumu na kikosi hicho kwa miezi kadhaa. Mgunda…
HABARI za Simba Leo ni za moto, za hivi punde tulizozinyaka ni kwamba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez amekubali kurudi ndani…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwa upande wa mashindano ya Kimataifa, Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa Afrika, na Simba SC na Coastal Union watawakilisha…